Thursday, 13 September 2018

SIMBA WAMNG'ANG'ANIA BEKI KISIKI WAMUITA HARAKA KAMBINI DAR



Wakati Simba ikiwa Mtwara kucheza mechi yake ya kwanza ya ugenini katika msimu huu wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC Jumamosi ya wiki hii, beki kisiki Juuko Murshid amerejea rasmi kujiunga na timu hiyo baada ya kukosekana kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu.
Tazama hapa namna alivyofikia mwafaka na Kaimu Rais wa Simba, Salim Abdallah kwa kumaliza tofauti zao.

No comments: